Umuhimu wa Kukusanya na Kuhifadhi Fasihi Simulizi:a) Ili isipotee kwa kusahaulika. b) Huirekodi ili kuiendeleza kwa kuirithisha kwa vizazi vijavyo.c) Ili kulinganisha fasihi simulizi za jamii mbalimbali na kuonyesha tofauti zake.