Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Vigezo zaidi vya kuchambua methali
i) Inarejelea vitu gani? K.m. Hindi ndiko kwenye nguo na waendao uchi wapo. -Nchi-Hindi -Vitu-nguo -Watu-waendao uchi ii) Inakupa wazo gani kuhusu jamii husika? - Utamaduni na njia za kiuchumi.

 (2m 58s)
2960 Views     SHARE

Download as pdf file


|