Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Hodiya au nyimbo za Kazi na nyimbo zake

 (4m 0s)
22008 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Hodiya/nyimbo za Kazi
- Zilizoimbwa wakati wa kazi.
Sifa za hodiya
a) Huimbiwa watu kazini k.v uwindaji, ukulima, uvuvi, ubaharia, n.k.
b) Huimbwa na mfanyakazi mmoja au kundi lao.
c) Zina maneno ya kuhimiza.
d) Urefu wake hutegemea kazi.
e) Mdundo hutegemea kasi ya kazi


|