Matumizi ya lugha katika methali: Taashira, Kweli kinzani, TanakuziTaashiraa) Kimya kingi kina mshindo mkubwa.b) Kuku mgeni hakosi kamba mguuni.Kweli kinzania) Wagombanao ndio wapatanao.b) Ukupigao ndio ukufunzao.c) Kuinamako ndiko kuinukako.d) Mwenye kelele hana neno. e) Kimya kingi kina mshindo mkubwa.