Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Nyimbo za Tumbuizo na majukumu zake

 (3m 18s)
4026 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Tumbuizo
-Nyimbo za kujipa burudani
-Huimbwa wakati wa mapumziko
Majukumu:
a) Kutumbuiza watu k.v. ngomani, arusini,
b) Kuwapa vijana mwongozo/kuadilisha.


|