Ushairi: Sifa na majukumu ya ushairi- Ushairi ni utanzu wa fasihi unaotumia lugha ya mkato inayoeleza maudhui yake kwa ufupi. Sifa za ushairia) Hutumia lugha ya kimkato.b) Huwasilishwa mbele ya hadhira.c) Huwasilishwa na mtu mmoja au kundi la watu.d) Huwa na muundo maalum k.v. beti, vipande na vina.e) Hutegemea sauti iliyo kipengele muhimu....................