Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Vipera vya Semi: Methali, sifa zake na umuhimu wake:
i) Methali -Semi fupi ambazo hueleza kwa muhtasari au mafumbo ukweli fulani wa kimaisha.
Sifa za methali
a) Huwa fupi k.m. ‘Msafiri kafiri.’
b) Hutumia tamathali za usemi.
c) Hutumkia lugha ya kimafumbo.
d) Huwa na maana ya ndani na nje.

 (8m 49s)
29208 Views     SHARE

Download as pdf file


|