Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Umuhimu wa michezo ya watoto

 (3m 37s)
7978 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Umuhimu wa michezo ya watoto
a) Kufunza watoto majukumu yao ya utu uzima.
b) Kuwatanguliza watoto katika sanaa ya uigizaji.
c) Kukuza ubunifu wa watoto kadiri wanapoendelea kuigiza.
d) Kudumisha utamaduni wa jamii.
e) Kuburudisha watoto.


|