Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Matumizi ya lugha katika methali
Sitiari
a) Mgeni ni kuku mweupe.
b) Ahadi ni deni.
c) Upweke ni uvundo.
d) Mgeni ni kuku mweupe.
e) Ujana ni moshi. f) Mapenzi ni kikohozi.
g) Kukopa arusi kulipa matanga.

Tashbihi,mifano
a) Kawaida ni kama sheria.
b) Riziki kama ajali ijapo huitambui.
c) Usilolijua ni kama usiku wa giza.
d) Ufalme kama mvua hupiga na kupita.

Tashihisi
a) Siri ya mtungi muulize kata.
b) Paka akiondoka panya hutawala.
c) Jembe halimtupi mkulima.
d) Ukupigao ndio ukufunzao.
e) Adhabu ya kaburi aijuaye maiti.

 (4m 27s)
20519 Views     SHARE

Download as pdf file


|