Sanaa ya Maonyesho Ngoma
Answer Text: Sanaa ya MaonyeshoNgoma-Uchezeshaji wa viungo vya mwili kuambatana na mdundo au miondoko maalum.Mifano ya ngoma ni kama:a) Ngoma za vijanab) Ngoma za unyago na jandoc) Ngoma za wazeed) Ngoma za kufukuza mapepoe) Ngoma za kuaga mwaka