Udhaifu wa Ngomezi
Answer Text: Udhaifu wa Ngomezia) Si kila mtu anaweza kufasiri ujumbe unaokusudiwa.b) Mapigo hayasikiki mbali na hivyo husikika na idadi dogo ya watu.c) Mapigo yaweza kuhitilafiana na hivyo kufasiriwa kwa namna tofauti.