Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
Ngano za usuli na sifa zake.
-Hadithi zinazoeleza asili ya hali, tabia, mahusiano au wasifu, kama vile asili ya kuku kuchakura, asili ya kinyonga kwenda kwa tahadhari na kadhalika.