Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Sifa za ulumbi

 (4m 42s)
11805 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Sifa za ulumbi
a) Hufanywa mbele ya hadhira.
b) Huwa na lengo maalum k.v. kushawishi, kuelimisha, kushauri n.k.
c) Hutumia tamathali za usemi kwa ufanifu mkubwa k.v. chuku, misemo.
d) Lugha huwa yenye mvuto na ufasaha.
e) Hutumia lugha yenye taharuki.
f) Unenaji huambatana na utumizi wa ishara


|