Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Sifa na umuhimu wa nahau:
Sifa za Nahau
a) Hutumia lugha ya kimkato.
b) Maneno huwa na maana tofauti na ya kawaida.
c) Kunazo huwa na maana zaidi ya moja k.v. kuja jamvikumaliza shughuli au kuondoka.
Umuhimu wa Nahau
a) Kukuza na kuendeleza msamiati wa maneno.
b) Kupunguza ukali wa maneno (tafsida).
c) Kuongeza utamu/ladha katika lugha.

 (4m 20s)
17462 Views     SHARE

Download as pdf file


|