Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Majukumu au umuhimu wa nyimbo za nyiso

 (4m 37s)
11748 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Majukumu ya nyiso
a) Kuonyesha vijana wamevuka kutoka utotoni hadi utu uzima.
b) Kuwaandaa vijana kwa uchungu watakaouhisi kupitia kijembe.
c) Kuhimiza ujasiri na kukejeli uoga.
d) Kusifu wahusika kwa ujasiri wa kukabili kisu na kuingia katika utu uzima.
e) Kufunza majukumu katika utu uzima.


|