Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Kiswahili Fasihi Simulizi Lessons and Notes

Majukumu ya nyimbo za mapenzi

 (3m 53s)
3771 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Majukumu ya nyimbo za mapenzi
a) Kuburudisha anayezisikiliza.
b) Kuomba uchumba au mapenzi.
c) Kusifu tabia au urembo/umbo la mpenzi.
d) Kusifu wapenzi.
e) Kukashifu mpenzi asiye na sifa nzuri.


|