Tamathali za usemi au mbinu za lugha katika tamthilia ya kigogo
Answer Text: Tamathali za usemi.(a) Methali.-Fuata nyuki ule asali (ukitaka kula asali kaa na nyuki) (uk7).Methali hii imetumika kuonyesha kuwa ukitaka kupata kitu, kaa na walionacho.Asiya na Ngurumo walimwandama Bi. Husda hadi wakapata kandarasi ya kuoka keki.-Chelewa chelewa utapata mwana si wako.-Mbio za sakafuni, huishia ukingoni.Kenga anatumia methali hii kurejelea kuwa harakati za Tunu kuleta mabadiliko SagamoyoUdongo haubishani na mfinyanzi.(uk.13)Aketiye na cha upele,haishi kujikuna.(uk 15)Simba hageuki paka kwa kukatwa makucha.(uk.21)(b) Maswali ya balaghaHiyo rununu hitulii mfukoni, yakuuma?(uk1)Kwani umeota pua ya pili? (uk1)Kwani u mjamzito? (uk1)Kwa nini washerehekee mwezi mzima?(uk5) n.k(c) Kuchanganya ndimilook at the bigger future man (uk18)Its for our goodwhat? (uk35)But one stone is enough (uk36) n.k(d) Nidaa.Linanuka fee! (uk1)Enhe! (uk19)Kisa na maana ni wewe! (uk26)(e) Takiriri.Siwezi suwezi, mimi siwezi.Kila kitu ni Tunu,Tunu,Tunu,Tunu (uk48)(f) Tashbihi.Ashua angeishi kama malkia.Husda hataki jua lifanye ngozi yake ngumu kama ya mamba (uk67)Pengime Tunu atambae kama nyoka. (uk69)Siku hizi wake hawashikiki, ni kama masikio ya sungura. (uk76)Kuishi kulivyo ni kama mshumaa. (uk80)