Uchambuzi wa onyesho la tatu tendo la nne kwenye tamthilia ya kigogo
Answer Text: Tendo la nne.(Onyesho la tatu)-Ni katika chumba cha wafungwa.Sudi amefika kumwona Ashua ambaye anadai kuwa ni kosa lake Sudi kutiwa ndani.Ashua anaomba talaka.Ashua hataki tena mapenzi ya kimaskini, amechoka na kuchukua mkondo tofauti.Kwake anahisi kuna kitu baina ya Tunu na Sudi.Wazo kuuAsasi ya ndoa inaonekana kuwa na changamoto.Kuna kutoaminiana katika ndoa. Ashua anashuku uhusiano baina ya Tunu na Sudi.