Umuhimu wa Kenga katika tamthilia ya kigogo
Answer Text: Umuhimu wa Kenga-Kenga anawakilisha washauri wabaya wa viongozi katika jamii, watu ambao nia yao ni kujinufaisha wenyewe bila kujali maslahi ya wanyonge.Washauri ambao ni katili na hata hupanga njama za mauaji ili kuendelea jufaidi kutoka kwa viongozi.-Anatumika kuwasuta viongozi wanaotumiaushawishi wao kuwakandamiza wananchi.-Kenga anaonyesha ufisadi uliopo katika mataifa kwa kuwaletea Sudi, Boza na Kombo makombo ya keki.-Kenga anaonyesha athari za ushauri mbaya wanaopewa viongozi. Anashauri Majoka vibaya, jambo linaloletea kuuporomosha uongozi wa Majoka.