Umuhimu wa Ashua katika tamthilia ya kigogo
Answer Text: Umuhimu wa Ashua-Anaonyesha kuwa pana umuhimu wa wake kutetea haki zao dhidi ya ukandamizaji.-Ametumika kuwakilisha wanawake ambao wanathamini na kuzienzi ndoa zao, wanawake waaminifu lakini kwa sababu ya kutawaliwa na tamaa ya mali na ubinafsi,huaribu ndoa zao.-Anatumika kuchora kwamba vijana wa matabaka tofauti wanaweza kuoana.Yeye mwalimu anaoana na Sudi mchonga vinyago.