Uchambuzi wa onyesho la nne,Tendo la kwanza katika tamthilia ya kigogo
Answer Text: Uchambuzi wa onyesho la nne. Tenzo la kwanza-Ni nyumbani kwa kina Tunu,Bi.Hashima anapepeta mchele huku akiimba.Siti anafika na habari kuwa wahame Sagamoyo sio kwao.Hali Sagamoyo inaonekana kubadilika ardhi inateketea namito na maziwa yanakauka. Kigogoamefungulia biashara ya ukataji miti.-Tunu anafika akihema baada ya kuota kuwa Mzee Marara anamfukuza akitaka mkufu wake wa dhahabu.-Tunu amaumizwa mfupa wa muundi,uvumi unaenea kuwa Sudi na Ashua ndio wanawinda roho ya Tunu.Tunu anataka kukutana na Majoka na watu wake.Hashima anaona hatari Tunu akienda kukutana nao.Wazo kuu.-Hali Sagamoyo inazidi kubadilika, kiangazi kimesababishwa na kigogo kufungulia ukataji miti, viongozi hawajali maslahi ya wananchi.Viongozi hueneza uvumi ili kutawanya wananchi, hata hivyo; vijana wamejitolea kujenga jamii mpya licha ya vikwazo vinavyowakumba.