Umuhimu wa Majoka katika tamthilia ya Kigogo.
Answer Text: Umuhimu wa Majoka katika tamthilia ya Kigogo.-Ametumika kuonyesha jinsi ambavyo viongozi hutumia mamlaka yao vibaya kunyakua ardhi ya umma,kuvunja sheria za katiba,kudhibithi vyombo vya dora, kupanga njama za mauaji,kunyanyasa maskini na kudhulumu wanawake kimapenzi.-Ni kielelezo cha viongozi katika mataifa yanayoendelea na shida zinazoyakumba kutokana na uongozi mbaya.-Anatumika kuonyesha athari za uongozi duni ambao mwisho wake ni mapinduzi na maisha mabaya akhera.Haya ni kupitia ushauri wa marehemu babuye.