Umuhimu wa Sudi katika tamthilia ya kigogo
Answer Text: Umuhimu wa Sudi-Anaonyesha umuhimu wa vijana kuwa na msimamo thabiti kutetea haki zao na demokrasia.-Mwandishi amemtumia mhusika Sudi kuonyesha kuwa kuna,wazalendo katika jamii ambao wamejitolea kupigania haki ili kujenga jamii mpya, watu ambao wamejitolea kupinga uongozi mbaya.-Anaonyesha umuhimu wa waume kuwa waaminifu kwa wake wao kama alivyo kwa Ashua.