Uchambuzi wa Onyesho la pili, tendo la pili katika tamthilia ya kigogo
Answer Text: Tendo la pili-Husda anamkabili Ashua kwa hasira, anamtusi kuwa kidudumtu, shetani wa udaku na mwenye kuwinda wanaume wa watu.Wanaangushana na Ashua kuzabwa makofi.-Sauti ya kenga inamjia Majoka akilini kuwa soko lifungwe ili kulipiza kisasi kwa Sudi na Ashua, kisha Ashua aitwe ofisini na Husda wakabiliane.-Mwango na Chopi wanawachukua Ashua na Husda ndani, agizo linatolewa Husda atolewe ndani baada ya nusu saa.Wazo kuu-Wanyonge hutafutwa kwa lolote lile na kunyanyaswa.Viongozi hutumia mamlaka yao hata kupanga njama kuwateka wanyonge,Ashua kutiwa ndani ni njama iliyopangwa.