Jalada la tamthilia ya Kigogo -Pauline Kea
Answer Text: Jalada la tamthilia ya Kigogo (Pauline Kea):-Kuna sura ya mwanamme ambaye ameketi akiwa na rungu mkononi.Huyu ni Majoka ambaye ni kiongozi Sagamoyo na rungu mkononi mwake inaashiria uongozi.-Mwanamme huyo anatazama jabali lenye rangi nyeusi ambalo si laini.Jabali ni Sagamoyo na kutokuwa laini ni ishara kuwaSagamoyo kuna shida,wanasagamoyo wana matakwa mengi.-Weusi wa jabali ni uongozi mbaya unaoendelezwa Sagamoyo na viongozi.Juu ya jabali hilo kuna mwanga, ishara kuwa kuma matumaini ambayo yanatarajiwa Sagamoyo, wanamapinduzi wanapigania haki ili kujenga jamii mpya.