Mama pima na sifa zake katika tamthilia ya kigogo
Answer Text: Mama pimaHuyu ni Asiya mkewe poza anayeuza pombe Sagamoyo.1.Ni laghai.Anawapunja walevi.2.Ni mwenye tamaa ya pesa.Anawapunja walevi kwa sababu ya tamaa ya pesa.3.Amekiuka sheria.Anauza pombe haramu kinyume cha sheria.