Umuhimu wa Boza katika tamthilia ya kigogo
Answer Text: Umuhimu wa Boza-Anatumika kuonyesha wananchi wanaosaliti wenzao katika vita vya haki.-Boza ametumika kuonyesha watu ambao hawajazinduka katika jamii, wanaotumikizwa na viongozi na kufumbwa kwa mambo madogomadogo ili waendelee kuunga uongozi mbaya mkono.-Anaonyesha athari mbaya ya kuwa vibaraka yeye na mkewe wamepewa leseni ya kuuza pombe haramu kwa vijana.