Umuhimu wa mama pima katika tamthilia ya kigogo
Answer Text: Umuhimu wa mama pima-Mamapima ametumika kuonyesha watu ambao huongozwa na tamaa hadi kiwango cha kukiuka sheria.-Anaonyesha hatari ya kuwauzia vijana dawa za kulevya. Ngurumo anafariki akitoka Mangweni.-Mama pima anaonyesha upendeleo uliopo katika uongozi . Anapewa leseni kuuza pombe haramu.