Mhusika Babu katika tamthilia ya kigogo
Answer Text: Mhusika Babu1.Ni mshauri mwema.Anamshauri Majoka abadili mienendo yake na asikie vilio vya wanasagamoyo na aone maovu aliyoyatenda.(uk 83)2.Ni mwenye hekima.Anathibitisha kauli kuwa maisha ni mabadiliko na maovu yana mwisho.Anamwonya Majoka dhidi ya kuishi kwa kutojali, kuwahasara itamwandama akataliwe na watu asiwe mtu tena.3.Ni mkweliAnamshauri Majoka umuhimu wa haki ikitekelezwa na viongozi.