Wazo kuu na yanayojiri katika Onyesho la kwanza tendo la tatu kwenye tamthilia ya kigogo
Answer Text: Tendo la tatu.(Onyesho la kwanza)Ni katika nyumba ya Sudi barazani baada ya soko kufungwa.Tunu na Sudi wanafika kiwandani anapofanya kazi Siti,wafanyakazi wanagoma na vijana watano kuuliwa na wafanyakazi kuumia.Kiini cha maandamano ni bei ya chakula Kupandishwa soko linapofungwa.Sudi na Tunu wamejitolea kutetea haki na uhuru wawanasagamoyo hata kama ni kwa pumzi zao za mwisho baada ya kufaulu.Wazo kuu.Kuna maandamano na migomo,walimu na wauguzi wanagoma.Migomo hiyo inatokana na kutowajibika kwa viongozi ambao wana nia ya kujifaidi.