Sifa za Husda katika tamthilia ya kigogo
Answer Text: Sifa za Husda1.Ni mkewe Majoka.Ni mwenye tamaa ya mali.Anaolewa na Majoka kwa sababu ya pesa na wala si mapenzi halisi2.Ni mkali.Anasema atamuua mtu anapompata Ashua na Majoka.3.Ni mnafikiMajoka anadai kuwa Husda ni kama mnyama hatari ndani ya ngozi ya kondoo.4.Mpyaro.Anamtusi Ashua na kumwita kidudumtu na mdaku.5.Mbinafsi.Husda ana ubinafsi,anaolewa sababu ya mali ili kujinufaisha.