Umuhimu wa Husda katika tamthilia ya kigogo
Answer Text: Umuhimu wa Husda-Anaonyesha jinsi tabaka la juu linavyofurahia maisha maisha wenzao wakiteseka.-Husda ni kielelezo cha wanawake wanaoongozwa na tamaa ya mali hata hata katika ndoa,wanawake wanaoolewa kwa sababu ya mali na wala si mapenzi ya kweli.-Anaonyesha chuki iliyomo baina ya wake kwa kupigana na Ashua ofisini pa Majoka-Anaonyesha kuwa mwanamke ni chombo cha anasa.