Umuhimu wa mhusika Ngurumo kwenye tamthilia ya kigogo
Answer Text: Umuhimu wa mhusika Ngurumo.-Mwandishi amemtumia Ngurumo kuonyesha kuwa kuna vijana ambao wamepotoshwa na anasa katika jamii na kukosa mwelekeo.Ngurumo ni kijana lakini mlevi kupindukia.-Anaonyesha jinsi vijana wengi wasivyofaidi elimu yao vyema.-Anaonyesha hatari ya kuwa vibaraka kwani Majoka hajali kifo chake.-Anatumika kusuta vijana waliozembea katika shughuli za demokrasia.