Umuhimu wa babu katika tamthilia ya kigogo
Answer Text: Umuhimu wa babu-Anaashiria umuhimu wa wazee kuwashauri vijana katika maisha yao.-Mwandishi amemtumia kuonya umma kuwa si vyema kutendea wengine mabaya, maana maovu yana mwisho.Wanadamu wasiishi kwa kuwanyanyasa wengine wala kuongozwa na tamaa bali watende mema daima.-Anaonyesha kuwa maisha ya duniani si mwisho wa mambo, akhera pana mengi yatokeayo.