Wazo kuu na Matukio ya Onyesho la nne , tendo la pili katika tamthilia ya kigogo
Answer Text: Tendo la pili.(Onyesho la nne)-Tunu na Sudi wanafika Mangweni ambapo shughuli za ulevi zimeshika kani, wanaletewa kileo lakini wanakataa.Ngurumo anaonekana kusheherekea uhuru, kwa mujibu wa Sudi,mashujaa Sagamoyo ni waliouliwa msituni wakipigana, waliohangaisha wakoloni na kuwatimua.-Tunu amefika Mangweni kuwaalika katika mkutano mkubwa utakaofanyika katika soko la Chapakazi siku ya maadhimisho ya uhuru.-Kulingana na Ngurumo, mkutano huo si muhimu, cha muhimu kwake ni kuendelea kulewa kwa mamapimaWazo kuu.-Watu wanapumbazwa hasa walevi kwa pombe na kuendelea kutetea viongozi wasiofaa.-Tunu na Sudi wamejitolea kutetea wanyonge Sagamoyo, wameandaa mkutano kuzindua umma.