Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa Riwaya ya Chozi La Heri (Assumpta K. Matei)

Sifa za Mhusika Sauna katika riwaya ya chozi la heri

 (3m 14s)
6466 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Mhusika Sauna
-Wanafanya kazi pamoja na Bi. Kangara.
Sifa.
a) Ni katili
-Wanafanya kazi ya kuwauza watoto pamoja na Bi.
Kangara
Uk 157,"Hatimaye ulaguzi wa binadamu uligeuka
ukawa ngozi yake "
(uk 118)
b)Mwenye bidii.
-Alifanya kazi yake kwa bidii, Uk 157, "Sauna aliianza kazi yake. Ni kazi iliyompa pa to kubwa sana, hata akataka kusahau yaliyopita na kuwasamehe walezi wake.
c)Mtumwa.
-Alifanya kazi chini ya masharti yake Bi. Kangara. Uk 157."Hatimaye, ulanguzi wa binadamu uligeuka kuwa ngozi yake. Na sasa yu tayari kushika tariki
kutekeleza utumwa mwingine wa Bi. Kangara "


|