Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa Riwaya ya Chozi La Heri (Assumpta K. Matei)

Sifa za mzee Kedi katika riwaya ya chozi la heri

 (1m 51s)
4184 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Sifa za mzee Kedi
-Huyu ni jirani yake Terry na Ridhaa.
-Anaonekana kuwa muuaji. Uk 3,"Uuuui!uuuui!Jamani tusaidieni!Uuuui!Uuuui! Mzee Kedi, usituue, sisi tu majirani!Maskini wanangu!Maskini mume wangu!"
-Ndiye aliyeitekteza familia ya Ridhaa.


|