Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa Riwaya ya Chozi La Heri (Assumpta K. Matei)

Mhusika Sally na sifa zake katika riwaya ya chozi la heri

 (2m 6s)
2704 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Mhusika Sally na sifa zake.
-Alikuwa mchumba wake Billy ambaye Billy alitaka kufunga ndoa naye.
-Alikuwa mwenye majivuno na maringo, uk 80,"Kipusa akawa ameliona jumba la mpenziwe kama tundu Ia makinda, akachukua virago na kurudi
kwao ughaibuni "
-Mwenye madaha-Anakikataa chumba kibovu cha mpenziwe.


|