Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa Riwaya ya Chozi La Heri (Assumpta K. Matei)

Mhusika Julida na sifa zake katika riwaya ya chozi la heri

 (2m 47s)
2416 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Mhusika Julida na sifa zake.
-Ni mama aliyesimamia makao yaliyokuwa ya wana wa mitaani.
Sifa.
a) Mwenye utu na upendo
-Anamkaribisha kwa upendo Umu, na kumpa tumaini. Uk 89,"Julida alimgusa Umulkheri begani na kumwambia, 'usijali mwanangu. Hapa patakuwa
penu kwa muda "
b) Mwenye huruma.
Kwa kumgusa Umu begani, anaonyesha kuwa anamhurumia mwana huyu kwa yaliyomfika.(uk.114)


|