Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa Riwaya ya Chozi La Heri (Assumpta K. Matei)

Sifa za mhusika Billy katika riwaya ya chozi la heri

 (1m 50s)
2964 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Sifa za mhusika Billy
-Alikuwa mlowezi.
-Alibagua wengine kwa misingi ya rangi, na kuwadhalilisha wanawake wa Kiafrika, hivyo basi kutafuta mchumba huko kwao ughaibuni.
-Mwenye bidii-Anaendeleza kilimo hapa Afrika.


|