Mhusika Becky katika riwaya ya chozi la heri
Answer Text: Mhusika Becky.-Huyu ni mjukuu wake Ridhaa.-Yeye pia anajipata katika janga la moto na kuiaga dunia.-Anafariki pamoja na Terry, Tila na bibiye.