Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa Riwaya ya Chozi La Heri (Assumpta K. Matei)

Mhusika Lunga na sifa zake katika riwaya ya chozi la heri

 (2m 39s)
6168 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Mhusika Lunga
Alikuwa mumewe Naomi.
Sifa.
a)Mwenye mapenzi kwa mkewe.
“ni kwamba hili linauma na kudhalilisha zaidi kwani lunga alijisabilia kwa hali na mali kumridhia na kumpendeza mkewe "
b) Mvumilivu.
-Alijikaza na kuvumilia machungu yaliyomkumba alipoachwa na mpenzi wake Naomi. Uk 81,"lakini mkono wake ulimkataza kujidhalilisha zaidi. Alimeza funda chungu la mate na kuamua kusalimu amri ya usaliti wa Naomi "
c) Mlezi mwema.
".Lunga ilibidi kuwa baba na mama wa watoto wake, na hilo usilione kama jambo jepesi, Hakuwaacha watoto wake kama alivyofanya mkewe Naomi.


|