Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa Riwaya ya Chozi La Heri (Assumpta K. Matei)

Mhusika Kangara na sifa zake katika riwaya ya chozi la heri

 (2m 43s)
3019 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Mhusika Kangara na sifa zake
a)Mkiukaji haki za watoto.
-Bi Kangara anakiuka haki za watoto kwa kuwashika na kuwauza katika madanguro, na kwa matajiri, ili wawe watumishi, na kutumika kama katika biashara haramu.Uk 157.
b) Ni mkaidi
-Anafanya biashara haramu ya kuwauza watoto, na baadaye, anakamatwa na kufungwa gerezani miaka saba ".wakarambishwa miaka saba gerezani na kazi ngumu "


|