Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa Riwaya ya Chozi La Heri (Assumpta K. Matei)

Sifa za Terry katika riwaya ya chozi la heri

 (2m 24s)
6150 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Sifa za Terry
(a) Mcheshi
-Terry ana sifa moja kuu ya kuwa yeye ni mcheshi. Uk 2 "Terry kwa ucheshi wake mwingi wa kawaida, hakunyamaza " Tunaona kuwa ucheshi ulikuwa ni mazoea yake au kawaida yake.
(b) Mwenye busara.
-Anamwambia mumewe, (uk 2) "wewe huishi kufanya tumbo moto!Kila jambo kwako lazima liwe na kiini utakuja kujitia fadhaa bure Anajaribu kumpa ushauri mumewe baada ya kumwona mumewe kuwa mshirikina.


|