Mhusika Selume na sifa zake kaika riwaya ya chozi la heri
Answer Text: Mhusika Selume na sifa zake.-Alikuwa mwenye matumaini mengi, uk 31,"Selume alitueleza kuwa alikuwa amesikia fununu kuwa upo mradi wa kuwakwamua wakimbizi kutokana na hali hii. Maneno ya Selume yaliwasha mwenge wa tumaini "-Menye kumbukumbu-Anakumbuka vyema mambo ya jadi na kuyasimulia.