Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa Riwaya ya Chozi La Heri (Assumpta K. Matei)

Mhusika Kairu na sifa zake katika riwaya ya chozi la heri

 (2m 22s)
4547 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Mhusika Kairu na sifa zake
a)Ni mvumilivu.
-Kulingana na jinsi anavyomwambia Umu, inaonekana kuwa yeye ameyapitia magumu, na kuyavumilia. hujapitia tuliyo yapitia. Tulitendwa ya kutendwa "
b) Ni msomi.
-Ingawa anajipata katika hali ya ufukara uliozidi, mamake anajaribu kuzungumza na mwalimu mkuu baada yake kufukuzwa shuleni kwa ajili ya kukosa
karo.


|