Sifa za Mhusika Mwanaheri katika riwaya ya chozi la heri
Answer Text: Mhusika Mwanaheri-Huyu ni mwanawe mzee Kaizari.Sifa.a)Ni mpenda mashairi.-Anawaelezea wenzake kuwa alijaribu kupalilia kipawa chake cha kughani mashairi mepesi uk 93.b) Ni msomi.-Anaendeleza masomo yake pamoja na wenzake, akina Kairu.c)Ni mvumilivu.-Anayapitia mambo machungu tangu kuachwa na mamake, mpaka wakati walipomzika katika kaburi la sahau.