Sifa za Mhusika Lime katika riwaya ya Chozi la heri
Answer Text: Mhusika Lime.-Ni ndugu yake Mwanaheri, na wote wawili ni wanawake Mzee Kaizari.Sifa.a)Ni msomi.-Walisoma pamoja na dada yake huko kijijini. Uk 93."mimi na ndugu tulirudi shuleni mle mle kijijini mwetu tu "b)Ni hodari katika michezo ya kuigiza.-Uk 93,"Lime alikuwa hodari katika michezo ya kuigiza -ile ya kitoto "c)Mcheshi.-Alipendwa sana shuleni kwa ucheshi wake. Uk 93,"Alikuwa mcheshi sana, kwa hivyo kutokuwepo kwake shuleni kuliwafanya watotokumpeza "(u.k.117)