Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa Riwaya ya Chozi La Heri (Assumpta K. Matei)

Mhusika mzee Mwimo Msubili na sifa zake katika riwaya ya chozi la heri

 (3m 11s)
4099 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Mhusika mzee Mwimo Msubili
-Huyu alikuwa babake Ridhaa.
-Alikuwa na familia kubwa, yenye madume ishirini. Ridhaa akiwemo kati ya madume hao ishirini.
-Alikuwa mwenye busara, kwa sababu alihamisha familia yake msitu wa heri, ili kupunguza msongamano nyumbani pake.
-Ni mwenye bidii kwani mtu kuilisha familia kubwa namna hiyo si jambo nyepesi. Alikuwa mwenye wake wengi na wana wengi pia.
-Pia aliwapeleka wanawe shuleni kupata elimu, kama Ridhaa. Uk 10. "Anakumbuka jinsi siku ya kwanza shuleni alivyotengwa na wenzake katika mchezo wao wa kuvuta.


|