Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa Riwaya ya Chozi La Heri (Assumpta K. Matei)

Sifa za Naomi katika riwaya ya chozi la heri

 (2m 34s)
4566 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Sifa za Naomi
a) Mwenye dharau
-Uk 81,"Nimeondoka. Acha nitambae na ulimwengu, huenda nikaambulia cha kukusaidia kuikimu familia. Nasikjtika uchungu nitakaokusababishia wewe na wanao. Kwaheri.
b)Ni katili.
-Anaiacha familia yake na kwenda kuizuru dunia uk 84,"Alimlaani mama yake ambaye aliwatelekeza kwa ubinafsi na ukatili mkuu "
c) Mwenye majuto.
Baada ya kuwaacha wana wake, anarudi nyumbani baada ya miaka kadhaa na kukuta hali ya huko ikiwa mahame tu. Anakuta kaburi la mumewe tu, likiwa halijafyekewa kwa miaka mingi.


|